Tuesday 8 December 2009

KWA KINA NGOSHA KUNABADILIKA!!!!!!!!!!!!!!!!


Ama kwa hakika jiji la Mwanza linapendeza kwa sasa, hivi karibuni lilitangazwa kuwa ni jiji safi nchini Tanzania hapa ni eneo mojawapo la jijini humo karibu na jengo la Schumann's Garage.
Picha hizi kwa hisani ya http://mtangazaji.blogspot.com/

1 comment:

chib said...

Hii ni hamasa kwa watu kwenda kutembelea huko jiji safi