Karibu sana katika blog yangu, Waweza kutoa maoni yako kadha wa kadhalika.
Mjomba hiyo inanikumbusha mbali kweli wakati ule ninaanza maisha.Hapo utake usitake ni lazima upike mchui unaonuka sana Nyanya.Hakuna ambae hakuanzia huko ulipopaonyesha mjomba.
Unanikumbusha mbali nikiwa hapo shinyanga naanza maisha nikiwa hata kupika chai nilikuwa sijui,baada ya kutoka KGM lakini maisha ni mwalimu wangu nimekuwa mpishi mzuri sana,hayo ndiyo maisha yakukumbukwa umenikumbusha mbali sana. YOUR BROTHER LONDON
Post a Comment
2 comments:
Mjomba hiyo inanikumbusha mbali kweli wakati ule ninaanza maisha.
Hapo utake usitake ni lazima upike mchui unaonuka sana Nyanya.
Hakuna ambae hakuanzia huko ulipopaonyesha mjomba.
Unanikumbusha mbali nikiwa hapo shinyanga naanza maisha nikiwa hata kupika chai nilikuwa sijui,baada ya kutoka KGM lakini maisha ni mwalimu wangu nimekuwa mpishi mzuri sana,hayo ndiyo maisha yakukumbukwa umenikumbusha mbali sana.
YOUR BROTHER LONDON
Post a Comment