Wednesday, 13 May 2009

UKIONA VYAELEA UJUE VIMEUNDWA.

Allen Sean Philip akiwa katika moja ya vipindi anavyoviendesha ndani ya studio ya Ebony Fm (Iringa).
Jamaa huyo ana uwezo binafsi na katu huwezi kudhani kama amejitengeneza mwenyewe katika fani ya utangazaji.

No comments: