Youth Cup Final 1st Leg: Arsenal 4-1 Liverpool;
vijana wa Arsenal usiku wa ijumaa wa May 22 walianza vyema hatua ya fainali ya michuano ya kombe la FA kwa vijana kwa kuwabamiza Liverpool mabao manne kwa moja.
Mchezo wa pili wa hatua ya fainali kati ya timu hizo utachezwa huko Anfield ambapo bingwa atashuhudiawa akikabidhiwa kombe lake.
Mabao ya vijana wa Arsenal yalipachikwa nyavuni na Sunu 20, Wilshere 34 (pen), Watt 57, Emmanuel-Thomas 66 huku lile la Liverpool likifungwa na Kacaniklic 36.

No comments:
Post a Comment