WADAU YA DUNIA NI MENGI NA MWENYEZI NDIE ANAEWEZA KUFAHAMU LINALOTOKEA LEO NA KESHO PIA.
NAKIRI NI MUDA SASA TUMEPOTEZANA LAKINI KWA KUDRA ZA MWENYE ULIMWENGU HUU NINAREJEA TENA HEWANI SHAKA ONDOENI.
KILA LA KHERI WADAU WANGU NA MWENYEZI ATUEPUSHE NA MAJANGA NA KIDUNIA.
AAAMIN
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

1 comment:
Ni furaha kujua kuwa uko bomba licha ya ukimya uliokukuta.
Karibu sana, karibu tena na kama kawaida, PAMOJA DAIMA
Post a Comment