Thursday, 2 July 2009

AFRIKA NDIO BARA LETU JAMANI.





Kiukweli Afrika kuna maajabu lakini mengine niya viini macho ama vipi?

Hakika ni mshangao wa wengi kwa mtu kama huyu kumchezea nyoka kama ameshika kichanga chake.

1 comment:

Mzee wa Changamoto said...

Duh!! Mie na nyoka twapishana mbali kwa kweli. Huyo dada hongera zake