Tuesday, 21 July 2009

USIOMBE UDAIWE CHOCHOTE KILE NCHINI NIGERIA.


Mzee mmoja akiwa amekaa na fisi wake kwenye kijiji cha Rinka, nchini Naijeria.
Watu wanaodai wenzao hutumia wanyama wa kutisha kama fisi kudai wadaiwa. Ukikataa kulipa basi tena....hakuna msalie mtume... fisi anaachiliwa....

1 comment:

Mzee wa Taratibu said...

Hatari hawa jamaa badala ya mbwa sasa ni fisi.