Saturday, 8 August 2009

ISIMILA STONE AGE.


Sehemu ya Isimila Stone Age iliopo mkoani Iringa na mara kadhaa imekuwa ikitembelewa na wageni kutoka nchi mbali mbali.

1 comment:

Mzee wa Changamoto said...

Kwani BODI YA UTALII iko wapi mpaka ikasahau haya mazingira na sehemu muhimu za utalii kama hizi?
Aibu kwao