Napenda kutanguliza shukrani za dhati kwa yale yote mnayo changia kuhusu maendeleo ya taifa na kushauri jamii pale inapokosea.
Ningependa nianze kama ifuatavo,mimi ni mwanamke mwenye umri wa kiaka 29 ninafanya kazi katika kampuni moja hapa Tz.
Miaka minne iliyopita niilibahatika kupata rafiki wa kiume ambaye tulikuwa tunasoma wote chuoni, alinipropose kuwa ananipenda na yupo tayari kunioa wala cyo kwa kunichezea nilikubali tukawa ni marafiki wa uchumba na tutakuwa tunaishi kama mke na mume tunashirikiana kwa kila kitu.
Wazazi wake /kaka/dada walikuwa wanafaham hilo kuwa mdogo wao anamchumba wapo wote ,niilibahatika kumuona mama yake /mama mkwe mtarajiwa tukiwa chuoni mara mbili tuuu, tena alikuwa akipita naambiwa nimpelekee maziwa huwa anasumbuliwa na vidonda vya tumbo.
Tuliendelea na urafiki wetu hadi tulipo maliza chuo nilikuwa ninaujauzito wake tayari na tulikuwa tunasubiri kuitwa kwa kazi kwa sababu tulifanya na interview mapema tukiwa chuoni bado.
Nilimwambia kuwa mimi nimmjamzito akakubali na akanambia nikawaambie home ili tufanye maandalizi ya harusi.
Hapo ilikuwa ni mwaka 2007, niliwaambia home kama ujuavo wazazi walikasirika sana kiac kwamba mdingi alipata na Presha kwa kuwa hakutarajia kitu kama hicho ukizingatia mimi ni first born wake, mama alim please hadi akatulia but alisema okay fine, kama ameamua basi sawa tumwachie afanye atakavo koz yeye siyo mtoto mdogo tena.
Mie nikamwambia mwenzangu kuwa nimesha waambia home ila kwakuwa nimepata ujauzito nikiwa nje ya ndoa unatakiwa kuja home ujitambulishe na vilevile kuomba msamaha ili ijulikane utaoa au vipi.?
Heeeeeee utafikiri nilichokoza nyuki kipindi hicho ndo alikuwa anahangaikia maswala ya kazi akanambia ati hawezi kuja home saivi kwa vile anahangaikia maisha kwanza, nikamwambia wazazi wangu wanataka wakuone na pia wajue utalea mimba au utakataaaaa, basi tokea hapo hatukuonana tena tangu aniache chuoni mimba ni changa hadi akapata kazi nikamkumbusha tena lakini ndo alikuwa hataki hata kusikia akaanzisha Jingine la kuwa ngoja nijipange vizuri kimaisha hapo mie tumbo linazidi kukua kila siku.
Mungu si Athuman nilipata kazi kama mhasibu , niliweza kujikimu kwa vitu vidogovidogo, yeye nilikuwa nikimwammbia nina shida na hela ananiambia hana, na wakati huo alikuwa kabadilika sana hata kuniona saa zingine inakuwa kama ni karaha vile, mi kashukuru mungu kuwa nina kazi basi nitaishi kwasababu kama ni maisha nilimsaidia kwa kila kitu wakati tupo chuoni hadi anapata kazi ni juhudi zangu pia nilichangia lakini nilipo enda kwake ikawa ni shida tupu.
Tuliendelea na maisha ya aina ile hadi nilipojifungua home, kumbuka hadi naenda home kujifungua alikuwa bado hajaenda kuwaona tena wazazi ingawa ndo aliyekuwa wa kwanza kunilazimisha kuwaambia kuwa mi ni mjamzito,.
Nashukuru mungu nilijifungua salama mtoto wa kike, yupo hadi sasa lakini siku ambayo naenda kujifungua aliniachia hela ambayo niitumia kwa tax tuuu ,yeye kama yeye alisema mshahara haujatoka bado mi nikasema fine hakuna shida madam nina pesa inaingia bank na mimi na pia WAZAZI wangu walinihudumia kwa kila kitu sikuona shida yoyote ile, siku niliyo toka hospital alikuja kumuona mtoto na kuanza kumkagua kama anafanana na yeye au vipi nikamwacha akamwangalia then akaniaga kuwa atasafiri kurudi kazini, hela hana ila atanitumia akifika.
Nikasema sawa, ndugu yangu tangu alivo ondoka hakurudi tena wala kutuma hela ya matumizi ya mtoto hadi nikarudi kazini baada ya likizo ya uzazi kuisha.
Chakushangaza nilipofika alishangaa sana kwa sababu sikumtaarifu kama nitarudi lini.
Wazazi wangu walikasirika sana, kwamba wamemtunzia mimba, kwa kweli hata miye nilijisikia vibaya koz huwez amini hata mama yake hakuwahi kunijulia hali katika kipindi chote kile alikuwa anakuja kuwasalimia ndugu zake hapo anapo fika yeye ni kilometa 90 kufika kwangu lakini hajawah kuja hadi kesho ninavo ongea.
Sasa ishu inakuja kwamba huyu niliye zaa naye ilifikia mahali nilichoka kumvumilia kwa sababu alianza tabia za ajabu alishakuwa na mwanamke mwingine tena, nikamwambia mimi na yeye basi kwanza sijaona chochote kile alichonisaidia kwa mtoto hadi kumpigia kelele sana.
Wazazi wangu wamenambia kuwa hawataki kumuona na kusikia kuwa anataka kunioa kwa sababu mpaka sasa mtoto kesha kuwa anakaribia miaka miwili sasa, pia kwa sasa tangu mwezi wa pili amekuwa kunisumbua sana kuwa anataka kunioa ikafikia mahali alitaka kujiua lakini mi namwambia kuwa sipo tayari nishaamua kuishi pekeyangu tuuu.
Kwani nikiishi mwenyewe ni makosaaa?????? ametangaza mitaani kuwa mimi ni mkewe ili hali hatujafunga ndoa bado je hilo pia ni sawaaaaaa???
NDUGU ZANGU NAOMBENI USHAURI KWA HILI KWANI MIM IHAPA NISHAMWAMBIA KUWA SITAKI TENA KUOLEWA NA YEYE ,AKAOE MTU MWINGINE KWASABABU HAKUNA NDUGU YAKE HATA MMOJA AMBAYE ALISHA MUONA MTOTO ZAIDI YAKE YEYE BABA WA MTOTO TUUUU.
NAOMBA USHAURI KWA HILI........niishi kwa amani

1 comment:
Mimi ushauli wangu,
kwanza pole kwa jinsi alikuterekeza bila kukujali.Kitu nachoweza kukushauli mimi nadhani alikufanyia hayo labda kutokana na jinsi alidhani kuwa mtoto siwa kwake.Sasa cha muhimu wewe kaa naye muongee,mwambie hayo makosa yoote,umuwekee wazi yani yaliyokuumiza yoote bila kusahau hata moja,usubili naye atakwambia kwanini alifanya hivo,na itamlazim kukuomba msamaha.Ukiona anakuletea za kuleta !mpige chini utakuwa hukujaliwa kuolewa naye.Hayo yoote cha umhimu ni kukaa nae mkayaongelea.Yote yatajitokeza kilichosababisha akutelekeze.Nakuombea mungu akusaidie kwa hilo.
Post a Comment