Friday, 9 October 2009

NINI MAANA YAKE?

Wadau bado naendelea kuuliza mengi ambayo yananitatiza kwa kweli, hakika dada zetu kwa urembo wapo mstari wa mbele sana lakini kuna urembo mwingine huwa ni wa asili na mwingine wanajiongezea.

Nikisema asili ni urembo ule waliozaliwa nao, kuna urembo wa kidoti *SPOT BEAUTY* ambavyo wakina dada zetu wengine hulazimika kujitodoa kwa wanja.

Hivi nini maana yake kujiongezea urembo usiokuwa nao?

Nawakilisha kwenu wadau.

No comments: