Acha nikwambie ukweli hapa ni India hali ya usafiri ndio kama unavyoiona alafu hii leo tunakubali kuwapa wahindi shirika letu la reli waliendeshe wao, wakati kwao wanashindwa kuwahudumia vizuri wananchi wao.
Huyu mama amekaa katika maungio ya behewa na behewa na juu kuna miguu ya watu inaonekana kabisa juu ya mabehewa kuna watu wamekaa.
Tafakari je tunapaswa kuendelea kuwa na wahindi katika shirika letu?
Huyu mama amekaa katika maungio ya behewa na behewa na juu kuna miguu ya watu inaonekana kabisa juu ya mabehewa kuna watu wamekaa.
Tafakari je tunapaswa kuendelea kuwa na wahindi katika shirika letu?
2 comments:
kaka kwani hujui tuko bongo? hapa ni mwendo wa 10 percent, nakumbuka ule msemo wa mitaani kuwa nchi iuzwe kila mtu apewe chake. lol
Ukisikia roho mkononi, basi hiyo picha inasema yenyewe
Post a Comment