

Kampuni moja ya magari huko nchini China imeamua kuweka choo katika kiti cha gari hali ambayo itamlazimu muhusika kutotoka nje kujisaidia haja ndogo.Karibu sana katika blog yangu, Waweza kutoa maoni yako kadha wa kadhalika.


Kampuni moja ya magari huko nchini China imeamua kuweka choo katika kiti cha gari hali ambayo itamlazimu muhusika kutotoka nje kujisaidia haja ndogo.
2 comments:
Wow! hii sasa kali kweli haja ndogo ndani ya gari.
Sikuwa na wazia kitu kama hiki ....
Post a Comment