


Ama kwa hakika jiji la Mwanza linapendeza kwa sasa, hivi karibuni lilitangazwa kuwa ni jiji safi nchini Tanzania hapa ni eneo mojawapo la jijini humo karibu na jengo la Schumann's Garage.
Picha hizi kwa hisani ya http://mtangazaji.blogspot.com/
Karibu sana katika blog yangu, Waweza kutoa maoni yako kadha wa kadhalika.
1 comment:
Hii ni hamasa kwa watu kwenda kutembelea huko jiji safi
Post a Comment