Thursday 17 December 2009

ADHABU SHULENI.

Eti hii ni adhabu kwa watoto wa shule fulani huko bara Hindi, lakini huu ni Ufedhulu ambao hautakiwi kufumbiwa macho hata kidogo, wapi wanahaki za kibinaadamu?Sunday 13 December 2009

MASHIMO SABA YA AJABU.

Yote haya ni maajabu yake Mwenyezi mungu kwa kutuonyesha sisi wanaadamu kwamba ulimwengu ni mpana na ni mkubwa hivyo hakuna ambae anaweza kuubadili ila yeye pekee!!!Spider man in Dubai.

Huyu jamaa anapanda majumba marufu bila support yeyote ile (hatumii kamba!!)
MAMA NA MWANA.

Walipokua safarini mtoto alipata gharka lakini mama alijitahidi kumuokoa kutoka kwenye mdomo wa mnyama mwenye uchu na nyama ilikua kama picha la kihindi vile.Wednesday 9 December 2009

MWENYEZI MUNGU KAUMBA !!!!!!!!


Mapenzi si kwa binaadamu wala wanyama bali yapo hadi kwa ndege warukao angani.

Tuesday 8 December 2009

KWA KINA NGOSHA KUNABADILIKA!!!!!!!!!!!!!!!!


Ama kwa hakika jiji la Mwanza linapendeza kwa sasa, hivi karibuni lilitangazwa kuwa ni jiji safi nchini Tanzania hapa ni eneo mojawapo la jijini humo karibu na jengo la Schumann's Garage.
Picha hizi kwa hisani ya http://mtangazaji.blogspot.com/

Wednesday 2 December 2009

ALAMA TATA !!!!!!!!!!!!!


Tafadhali ninahitaji msaada wako kwa hali na mali, hapa Kamanda Kova alikua akitoa Amri ama alikuwa akimaanisha mambo safi?

Saturday 28 November 2009

UJUMBE KWA WAISLAMU WOTE DUNIANI.


HAPPY EID.

Friday 27 November 2009

KESHO NI EID EL-HADJI (ALLAH'S BLESSINGS DURING EID)

HAPPY EID EL-HADJI;Thursday 26 November 2009

JIBWA KOKO !!!!!!!!!!!!


10 days of Dhul Hijjah (Nov 18th-Nov 27th 2009).

Kwa wale wenzangu na mimi tufahamu ya kwamba waislamu wenzetu wapo Hijja na hii leo wapo Arafah.

SHIBE INA RAHA NA KARAHA!!!!

Baada ya Lunch time watu hujipumzisha kwa furaha ama uchovu.

Tuesday 24 November 2009

LUNCH TIME.

Lunch time (Usishangae).

COPY & PASTE.


Basi dada zetu hamchelewi kuiga mtindo huu !!!!!!!!!

HEBU TAFAKARI PICHA HII.