JINA LANGU KAMILI NINAITWA SHABANI OTHMAN SEIF KONDO, NI MTOTO WA PILI KWENYE FAMILIA YA WATOTO SITA.
NILIZALIWA MIAKA 20 NAAAAAA, ILIYOPITA.
ASILI YANGU NI MKOMORO LKN BABU YANGU WA MIAKA HIYO ALIKUJA TANZANIA KATIKA HARAKATI ZA BIASHARA ZAKE NA ALIFIKIA MKOANI TABORA.
ALIKAA HAPO KWA KIPINDI KIREFU NA KUWAZAA BABU NA MABABU ZANGU AMBAO WALIZAANA HADI KIZAZI CHA FAMILIA YA BABA YANGU MZAZI ( Mr. Othman Seiff Kondo ).
HIYO NI HISTORIA AMBAYO MIMI SIIFUATILII SANA KWANI NINAELEWA, MIMI NI MNYAMWEZI HALISI SASA.
NA KWA UPANDE WA FAMILIA YA MAMA YANGU KIPENZI ( Bi Khadija N. Issa ) NI WANYAMWEZI PIA.
KWA KIFUPI NINAWASHUKURU SANA WAZAZI WANGU WAWILI WALIONILEA KATIKA MAZINGIRA MAZURI AMBAYO NDIO SILAHA YANGU TOSHA HII LEO, KWANI SASA NINAWEZA KUISHI NA WATU TOFAUTI NA HALI HII NDIO INANIJENGEA UJASIRI MKUBWA HADI INAFIKIA HATUA NINAJIONA KAMA BINAADAMU MWENYE UWEZO WA KUISHI NA KILA MTU. HIVYO MIMI NI MTU MWENYE BUSARA, UPENDO PIA NI MKARIMU KWA MAMBO YALIYO MEMA KWANGU PAMOJA NA KWA WENGINE.
KITU KIKUBWA NISICHOKIPENDA KATIKA MAISHA YANGU, NI HALI YA MTU KUJISIKIA KULIKO WENGINE, NA HILI NINAKUTANA NALO KATIKA MAISHA YANGU YA KILA SIKU HUSUSAN MAZINGIRA YANAYONIZUNGUUKA.
NBINU KUBWA AMBAYO NI SILAHA YA KUWAEPUKA WATU HAWA NI KUWADHARAU NA KUWAPUUZA ILI WAJIONE MADHWALIMU WA NAFSI.

2 comments:
Cool. Nimependa utambulisho na hakika kuwa na heshima ni SILAHA katika maisha. Lakini pia kuwa na moyo wa kuwashukuru wazazi na wale wote ambao kwa namna moja ama nyingine wanakufanya uwe mwema ulivyo ni jambo la busara. Labda umesahau kuwashukuru wale wanajiita maadui zako, ambao kwa namna moja ama nyingine wanakupa CHANGAMOTO (Challenges) za kuendelea kuwatambua na kuwatafutia suluhisho japo la kuwadharau. Hao wana nafasi yao maishani. Najua huna shida nao japo usingependa kuwa nao, lakini kujua kuwa wapo watu wa hivyo na kujua kuwa kila ufanyalo wapo walio na moyo wa kukuangusha ni "alarm" tosha ya kukufanya uwe makini na umakini huo ndio unaokufanya uwe Shebby K wa leo.
Mtazamo wako katika maisha ni mwema na naamini ukiutekeleza utafanikiwa. Kumbuka kuwa maisha yetu twayatengeneza wenyewe kwa namna tunavyojitahidi kuyakabili na makabiliano hayo hutokana na namna tuonavyo matatizo. Kwa hiyo kuna umuhimu mkubwa wa kuyaangalia matatizo kwa kina kabla hatujaamua la kufanya kwani nililogundua ni kuwa "THE WAY YOU SEE THE PROBLEM IS THE PROBLEM"
mwelekeo wako ni mzuri sana kwani unajua unapotoka, pia matatizo gani yanayokukabili katika maisha yako.
Ni vyema kujua ili uweze kujua jinsi gani unaweza kuyatatua, hasa binaadam mwenzio ni tatizo kubwa sana,jaribu kumwelewa na kujua kuishi nae.
I wish all the best in your life, you are doing well. keep dream i am sure you'll achieve your goal one day.
London
Post a Comment