Thursday, 18 September 2008

WAFANYAKAZI WA EBONY FM WALIPOFANYA TOUR MPAKANI MWA TZ NA MALAWI.

Shabani O.S Kondo mwenye nambari 09, Agnes Anderson na George Ndabagoe (mzee wa VIVA AFRICA).

Kutoka kushoto ni Bahati Alex (Mamaa wa Jambo Beat), Shabani O.S Kondo, George Ndabagoe, Ibrahim Issa na Agnes Anderson.



Alietupa mgongo anaitwa Mwazarau Matola na mwenye T-shirt nyeupe ni Athumani Mussa Mwalubadu.

3 comments:

Anonymous said...

Interesting to know.

Egidio Ndabagoye said...

Poa sana,mpe hollah sana mzee wa viva of Africa.Mwambie anitafute
gaphiz@yahoo.com

Mzee wa Changamoto said...

Hahahahahaaaaaa. Eeee Bwana mmependeza. Lakini sina budi kusema Dada Aggie kanipachikia hizo RANGI ZA BARAKA na naweza weka upendeleo wa upendezaji kwa hilo.
Ni full messages kwa FREEDOM FIGHTERS na anaheshimika kwa hilo.
May be she is, or may be she is not, but all in all "you don't haffi dread to be Rasta".
Blessings Aggie