Friday, 19 September 2008

WAKUTANAPO MAFAHARI WAWILI.

Wanapokuwa nje ya uwanja huwa marafiki wakubwa kama walivyokutwa katika hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na chama cha makocha nchini Uingereza siku ya Al-khamis usiku (Sept 18 2008).

Wanapokuwa kazini huwa katika hali ya uadui mkubwa.

No comments: