



Timu ya vijana ya Arsenal imefanikiwa kuwa bingwa wa kombe la chama cha soka nchini Uingereza FA baada ya kuwafunga vijana wenzao wa Liverpool mabao mawili kwa moja.
Katika mchezo wa kwanza ambao ulichezwa May 22, Arsenal walipata ushindi wa mabao manne kwa moja.
FA Youth Cup: Liverpool 1-2 Arsenal (2-6 agg)
1 comment:
Nimeshtuka wewe jamaa Arsenal.
Kama unabisha kataa tuone!!!!!!
Post a Comment