Monday, 25 May 2009

BLAZA AMEFULIA ILE MBAYA!!!!!!!!!

Alan Shearer akipiga makofi ya shukurani kwa mashabiki wa klabu ya Newcastle Utd waliojitokeza katika mchezo wao wa mwisho dhidi ya Aston Villa.


Newcastle Utd wameshuka daraja na msimu ujao watashiriki ligi daraja la kwanza baada ya miaka 20 iliyopita.




aliyavulia kaka sasa umeyaoga ndugu yangu.


No comments: