Wednesday, 13 May 2009

URITHI WA WAJERUMANI.











Jengo la kale ambalo lilikuwa mahakama ya wajerumani wakati wa utawala wao kwenye ardhi yetu ya Tanzania ndani ya mkoa wa iringa.
Kwa sasa jengo hili linatumika kama ofisi za mkuu wa wilaya ya Iringa.
Hakika huu ni urithi ambao unatakiwa kukumbukwa na kuenziwa kila kukicha.




No comments: