Sunday, 14 June 2009

FOYSA FC MABINGWA WA MUUNGANO CUP 2009.

Kikosi cha FOYSA FC kikiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kukabidhiwa mwali pamoja na mfano wa hundi ya shilingi milion tatu.

Nahodha wa FOYSA FC akikabidhiwa mwali.

Mwali wa Muungano Mafinga pamoja na Zanzibar.

Kikosi cha nyundo FC kikiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya kukabidhiwa mfano wa hundi ya shilingi milion moja na nusu.

Mshike mshike katika lango la Nyundo FC kabla ya kupatikana kwa bao pelee la FOYSA FC.

Kikosi cha FOYSA FC.

Kikosi cha Nyundo Fc.


1 comment:

Mzee wa Changamoto said...

That's cool. Habari mwanana toka ndani ya Iringa. Taswira swafi na shukrani kwa hili