Tuesday, 2 June 2009

MTOTO MWENYE UMRI WA MIAKA MITATU ALIENDELEA KUPONGEZWA.

Safari ya kumpongeza mtoto ikiwa msituni kuelekea Makambako.

Tambarare Mwanangu.

Kijua cha jioni hichooooooo.


Dada yake mtoto mwenye umri wa miaka mitatu akiwa katika mapumziko baada ya safari.



Hakika anapendeza



1 comment:

Anonymous said...

KUMBE TZ NI KUBWA KIASI HIKI NILIKUWA SIJUI.

NINAELEZWA KWAMBA BARABARA HIYO NDIO INAKWENDA KWA MADIBA.