Thursday, 4 June 2009

YAYA TOURE AREJEA NYUMBANI NA KOMBE LA MABINGWA ULAYA.

Laurent Gbagbo akimkebehi baba mzazi wa Yaya na Kolo wakati wa sherehe hizo.


Kolo na Yaya Toure wakipita mitaani huku wakiwa wameshikilia kombe la ligi ya mabingwa barani Ulaya na pembeni ni baba yao mzazi.




Kolo na Yaya Toure wakishangilia kwa pamoja na familia yao ambayo pia ilijumuika na raisi wa Ivory Coast Laurent Gbagbo katika ikulu ya nchi hiyo iliopo mjini Abidjan.





Yaya Toure ni kiungo wa klabu ya Barcelona ya nchini Hispania, na alikuwa miongoni mwa wachezaji waliotwaa ubingwa wa kombe la ligi ya mabingwa barani Ulaya dhidi ya Man Utd na amepewa hisani kubwa ya kulitembeza kombe hilo huko nchini kwao Ivory Coast.

No comments: