Thursday, 9 July 2009

HII NI TANZANIA YETU.


Yaonakena ni kitu cha kawaida sasa lakini ingelikuwa kwenye nchi ambazo zilishaonja joto la vurugu kila mmoja angelikuwa ndani mwake.

Kwa mujibu wa Majid hiyo ilikuwa ni moja ya mitaa ya huko Temeke ambapo aaskari huyu alionekana kikatiza na mtutu na wala hana habari na mtu huku akicharaza story na mwenzie.

Picha hiyo ni kwa mujibu wa mdau Majid Mjengwa.

No comments: