skip to main |
skip to sidebar
Katika nchi yetu ya Tanzania kila mkoa utakaokwenda kuna kumbu kumbu ya nyumba za zamani ambazo zilijengwa miaka 30, 40 ama 50 iliyoipita, mkoani Iringa nyumba hii ni moja ya nyumba mbazo zimekula chumvi haswa.
Lakini hii leo nyumba hii inatumika kama sehemu ya kupata kiburudisho !!!.
No comments:
Post a Comment