Thursday, 9 July 2009

SASA NANI KAPANDISHA GHARAMA ZA VOCHA?


Mamlaka ya mawasiliano nchini TCRA imesema inashughulia utaratibu wa kupanda kwa gharama za vocha za mawasilino ya nchini nchini.

Mkurugezi wa mamlaka hiyo Prof John Nkoma amesema mamlaka yake tayari imeshazungumza na wadau wa makampuni ya simu nchini kwa lengo la kurekebisha utaratibu wa kupanda kwa gharama za vocha hizo.

Nkoma amesema katika mazungumzo na wadaui hao wa makampuni ya mawasiliano nchini, imebainika kuwa gharama za vocha bado zipo pale pale na hatua hiyo inaendelea kuwashangaza.




No comments: