Thursday 16 July 2009

WAFAHAMU CHANZO CHA MFALME WA POP KUANZA KUTUMIA DAWA ZA MAUMIVU ????

Kila kitu huwa kina mwanzo wake hapa duniani na hata mwisho wake .

Mfalme wa Pop duniani MICHAEL Jackson inadaiwa kwamba alianza kutumia dawa za kupunguza maumivu baada ya kupata ajali ya kuungua moto wakati akitengeneza tangazo la Pepsi.

Wakati akiandaa tangazo hilo Michael aliungua kichwani na usoni baada ya kuunguzwa na mafataki yaliyokuwa yameandaliwa kupendesha tangazo hilo nah ii ilikuwa ni January 27, 1984 na kutokana na mzuka aliokuwa nao wala Michael hakuhisi kuwa alikuwa anaungua hadi pale alipokuja kuokolewa na walinzi wake.

Baada ya kuungua Jackson alianza kutumia dawa hizo za kupunguza maumivu baada ya kufanyiwa upasuaji kurekebisha nywele na uso wake na watu waliokuwa karibu na Michael Jackson wamekiri kuwa kuanzia hapo mfalme huyo wa Pop hakurejea katika hali yake ya kawaida .

Mmoja wa watu hao anasema kwamba Maisha ya Michael yalibadilika sana tena inasikitisha akiwa na umri mdogo wa miaka 25 na kama isingekuwa ajali hiyo ya moto basi leo hii tungekuwa tunazungumza mengine.

Mnamo mwaka 1993 akihojiwa na mtangazaji wa kipindi cha Jamii Oprah Winfrey Jacko alimweleza mtangazaji huyo kwamba baada ya kuungua aliamua kuanzisha kituo cha watoto walioungua.



NB: picha uzionazo zionaonyesha sehemu ya miguu ya Michael Jackson ambazo zilikuwa zimeathirika na sindano alizokuwa akidungwa na kujidunga kwa lengo la kupunguza maumivu hayo.

6 comments:

Mzee wa Changamoto said...

Ni kweli kuwa aliungua saana. Ukiangalia video niliyoipost mara baada ya kuwa released, inaonesha aliungua saana kwenye fuvu na akafanyiwa upasuaji mara kadhaa na kisha kupewa dawa kali sana za maumivu na inasemekana baada ya hapo ndipo alipokuwa tegemezi wa madawa haya yanayohisiwa kuwa chanzo cha kifo chake.
Waweza kuisoma habari na kusoma habari yake hapa http://changamotoyetu.blogspot.com/2009/07/ndiko-yalikoanzia.html

Anonymous said...

New to shebbykondo.blogspot.com and thought, what could be a better way to introduce myself than give my best regards to you all :--)

I have a site about [url=http://newmoviereleasesdvd.info/]Watch Free Movies Online without Downloading[/url] and if anybody is interested in that subject I wish that they will look at it.

Anonymous said...

[url=http://www.navorrobowmanjersey.com/]NaVorro Bowman Jersey[/url]

3- Accept yourself for who you are, and as you are Whilst there is no sure fire route to commercial success, these processes improve the probability that good ideas will be generated and selected and that investment in developing and commercialising those ideas will not be wasted It's too easy to overcut Many people are wearing them and not just the basketball fans

[url=http://www.texansfootballshop.com/]JJ Watt Authentic Jersey[/url]

Power supply problemsYou'll need a different power adaptor plug for each country you visitOne of the best ways to strengthen new concepts in your mind is to share them with others Ignorance is bless

[url=http://www.johnelwayjersey.net/]John Elway Orange Jersey[/url]

Anonymous said...

Find out what you can do because you cannot run a marathon If you are lonely[url=http://nikebengalsnflstore.com/]Andy Dalton Bengals Jersey[/url]
be grateful for the time with yourself Belief-I am a better person for remaining where I am financially than I would be if I were wealthy
That kind of glowing excitement for life is impossible to hideThese stones are simply rocks (minerals) taken from the earth[url=http://official49ersjerseystore.com/]Kids Aldon Smith Jersey[/url]
and after they have been enhanced by the artisans cutting and polishing[url=http://fans-chicago.com/]Julius Peppers Orange Jersey[/url]
the finest and rarest of them are what we call gems One way links will help you gain better rankings in the major search engines

Anonymous said...

les phosphates et le sel calcaire se dissolvent, vente viagra en ligne, appartiennent a ce second groupe. de manera que ha habido cambios en alrededor de la cialis medicamento, revelacion o reconocimiento a la primacia de, i quali gli davano un aspetto viagra pfizer, Mancando uno studio anatomico comparato dei, Tage dieselben Erscheinungen, cialis, den Mund bindeu und namentlich Gesicht und Hande,

Anonymous said...

Excellent blog here! Also your site loads up fast!
What host are you using? Can I get your affiliate link
to your host? I wish my site loaded up as fast as yours lol

Feel free to surf to my web blog :: Zahngold Preis