Thursday 8 October 2009

NINI MAANA YAKE?

Katika pita pita mitaani si haba kuona wadada kwa kina mama wamevaa vikukuu miguuni eti hivi iwa vinamaana gani?

Nasikia kila mguu unamaanake kama mguu wa kishoto unamaanake hata wa kulia pia unamaanake. Je ukichanganya yote inakuwaje ?

Nawakilisha wadau.

4 comments:

Anonymous said...

KUNA MAANA AMBAZO SIO RASMI SANA ETI UKIVAA KIKUKU INAMANISHA KWAMWANAMKE ANATOA PENZI KNYUME NA MAUMBILE ILA UKIWAOJI WAO WANAOVAA WANADAI NI UREMBO TU KAMA ILIVYO KUVAA PETE KWENYE VIDOLE VYA MIGUUNI

Haina maana yoyote ya zaidi ya urembo acheni ulimbokeni!!! teh teh

Anonymous said...

ni kweli urembo ila pia wapo
wanao vaa wakiwa na maana ya kuingililwa kinyume na maumbile Yao....