Monday 9 November 2009

UVUMBUZI WAENDELEA ULIMWENGUNI.

Kampuni moja ya magari huko nchini China imeamua kuweka choo katika kiti cha gari hali ambayo itamlazimu muhusika kutotoka nje kujisaidia haja ndogo.


2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Wow! hii sasa kali kweli haja ndogo ndani ya gari.

chib said...

Sikuwa na wazia kitu kama hiki ....