Mkuu wa benchi la ufundi la Ebony FM akizungumza na anaemphoto.
Agape mwana wa Msumari akielekea katika vyumba vya kubadilishia tayari kwa kuchukuwa nafasi katika kipindi cha pili.
Mipango iliendelea hado uwanjani baada ya kutokukamilika walipokuwa klabuni kwao.
Wafanyakazi wa Ebony FM waliovaa jezi nyeusi walisheherekea miaka mitatu ya kuzaliwa kwa kituo chao cha Radio kwa kucheza soka na timu ya Manispaa ya Iringa.
Katika mchezo huo Ebony FM walifungwa mabao matatu kwa sifuri ambapo kila bao lilikuwa na mwaka wake.
Ahsanteni sana
1 comment:
Kweli timu bado changa hadi mnatumia jezi za Man Utd
Post a Comment