Wednesday, 3 June 2009

SHEREHE ZA KUTIMIZA MIAKA MITATU YA EBONY FM ZAPAMBWA NA SOKA.

Mkuu wa benchi la ufundi la Ebony FM akizungumza na anaemphoto.

--------- akilinda milingoti miwili na mtambao wa panya wa Ebony FM.


--------- akizungumza na mkuu wa benchi la ufundi mawili, matatu baada ya mchezo kumalizika.


Agape mwana wa Msumari akielekea katika vyumba vya kubadilishia tayari kwa kuchukuwa nafasi katika kipindi cha pili.



Hivi havinitoshi nipe hivyo.



Athumani Mussa Mwalubadu Masangula akiwa katika harakati za kumchomoka adui.



Mwana lete hapa hakuna tatizo ( ni maneno ya Nyondo).


Nyondo akikabiliana na adui.


Mipango iliendelea hado uwanjani baada ya kutokukamilika walipokuwa klabuni kwao.




Wafanyakazi wa Ebony FM waliovaa jezi nyeusi walisheherekea miaka mitatu ya kuzaliwa kwa kituo chao cha Radio kwa kucheza soka na timu ya Manispaa ya Iringa.


Katika mchezo huo Ebony FM walifungwa mabao matatu kwa sifuri ambapo kila bao lilikuwa na mwaka wake.
Ahsanteni sana




1 comment:

Anonymous said...

Kweli timu bado changa hadi mnatumia jezi za Man Utd