Msanii Soud Ally anakuja na Sinema mpya (SIMANZI YA MOYO)iliyotengenezwa katika kiwango kikubwa itakayo tikisa tasnia ya sinema nchini kwetu….Soud Ally amesema Sinema hiyo ambayo amewashilikisha wasanii wakumbwa nchini kama Jacob Stiven (JB),Ndumbangwe Misayo (Tea),Ahmed Ulotu (Mzee Ulotu),Adam Kuambiana,Sonia Sabu,Kabturado na Shenaiza.
Soud amesema Sinema ya Simanzi ya Moyo itakuwa sokoni Tarehe 22-06-2009 kwa mawaliano check nae katika 0713 413 277.
From mdau Soud Ally

No comments:
Post a Comment