
Huyu mheshimiwa aliwahi kusema kuwa "hatokosa usingizi na hatojali kama taifa letu tukufu likiingia kwenye giza kwa kukosa umeme"Nadhani its about time na yeye aje atoe tamko lake kwa nini yeye anaona ni sawa kwa waTanzania na baadhi yao wapiga kuwa wake kuendelea kukosa umeme na huduma zingine muhimu.
Mashabiki wake ambao wanajiita wapiganaji waliopo USA,ULAYA na CANADA najua watakuja kumtetea lakini nadhani itakuwa si vibaya kwa huyu bwana Mwakyembe akaja kutoa tamko ili tujue maoni yake kuhusu hii adha, je imebadilika au la?
No comments:
Post a Comment