Friday, 15 May 2009

JAMANI NIPO SHUGHULINI!!!!!!!!!!!!!!!!

Enzi za mwalimu.











Nipo shughulini katika maandalizi ya namna moja ama nyingine ambayo yananiwezesha kuishi town.

1 comment:

Mzee wa Taratibu said...

Sawa mzee fanya kazi ndio maisha, karibu tutembelee na sisi.