Baadhi ya wachezaji wa klabu ya Arsenal wakiwa katika picha ya pamoja ya kuonyesha jezi mpya ya klabu hiyo.
Manuel Almunia
Franciss Fabregas
Theo Wallcot.
Eduardo, Sagna pamoja na Vella
Jezi hii ya Arsenal itakuwa inatumika pale timu itakapokuwa katika viwanja vya ugenini lakini kwa michezo ya nyumbani Arsenal wataendelea kuvaa jezi zao nyekundu.
No comments:
Post a Comment