Thursday, 21 May 2009

NI SHAKHTAR DONETSK, MABINGWA WA UEFA CUP 2008-09.

Mabingwa wa UEFA CUP wakiwa katika picha ya pamoja.

Raha ya ubingwa unyanyue kombe mwana, kama anavyoonekana nahodha wa SHAKHTAR DONETSK.


Bao la pili la SHAKHTAR DONETSK likifungwa na Jadson katika dakika ya 97 ndani ya muda wa kuongeza baada ya dakika 90 kumalizika kwa timu hizo kufungana bao moja kwa moja.


Bao la Weder Bremen la kusawazisha ambao lilikandamizwa na Naldo katika dakika ya 35.

Luiz Adriano akishangilia mara baada ya kupachika bao la kwanza katika dakika ya 25.

Mashabiki wa klabu ya SHAKHTAR DONETSK toka Ukraine.

Mashabiki wa klabu ya WEDER BREMEN toka Ujerumani.

No comments: