Sunday, 17 May 2009

KUJIAMINI KUNA FAIDA NA TABU ZAKE PIA.

Baadhi ya mashabiki wa klabu ya West Bromwich Albion akionyesha kibao cha kutaraji kurejea ligi kuu baada ya kushushwa na kichapo cha mabao mawili kwa sifuri dhidi ya Liverpool.

West Bromwich Albion imekuwa timu ya kwanza kushuka daraja msimu huu wa mwaka 2008-09, huku ikiwa imesalia mechi moja.


No comments: