Wednesday, 10 June 2009

KAZI YA ULINZI KUGANGAMALA.


Kazi ya ulinzi nayo inatakiwa kuandika data kama anavyoonekana ndugu yetu wa kampuni fulani hivi ya ulinzi ambayo inalinda jengo fulani hapa mjini.

1 comment:

Anonymous said...

Huyu jamaa amelala ama analinda alafu anatuzuga naandika.