Wednesday, 10 June 2009

MANDHARI YA CHUO CHA MTAKATIFU TUMAINI MKOANI IRINGA.













Kweli ushindwe kusoma hapa, ukishindwa kufanya hivyo basi utakuwa umerogwa na mtu ambae tayari tumeshamzika.

5 comments:

Mzee wa Changamoto said...

This is Cool Man. Awesome pics.
Blessings to ya SK.

Anonymous said...

KWA WABONGO TUTASHINDWA KUSOMA HAPO KWANI HILO HULIFAHAMU.

Anonymous said...

HIVI HIYO KWELI NI TANZANI MBONA KAMA ULAYA VILE MWANA?

WANAFUNZI WA HAPO INAONEKANA WANAFANYA MCHEZO MPAKA UMETAFUTA USHAURI KWETU.

Anonymous said...

Hiki chuo cha Mtakatifu Tumaini ni kipya? Au ndio hicho hicho huwa chaitwa Tumaini University?
Nilisoma hapo miaka michache ilopita!

Anonymous said...

wow jamani he can u show us some more pics ya mitaa hiyo je huko kuna mji mkubwa au vipi kwa maana tunaona majengo tu ya chuo au kiko katikati ya pori will appreciate tukiona kama kuna mitaa au ni mbugani