Friday, 12 June 2009

NYUMBA TENGEFU !!!!!!!!!!!!!!!!


Kwa kipindi kirefu nyumba hii imekuwa katika mazingira ya kipekeyake ambayo kwa namna moja ama nyingine waweza kusema mmiliki alikuwa wa kwanza kupata kiwanja maeneo hayo.


Maeneo ilipo hii nyumba yamepachikwa jina la Mtaa wa saba sifahamu sababu ni zipi, lakini ki ukweli nyumba hii ipo mlimani, eneo la Wilolesi mjini Iringa.


Wapo wanaoishi humo ndani na wao ndio chanzo cha kutunga jina la Mtaa wa saba.


1 comment:

Anonymous said...

HIYO NYUMBA IPO KAMA KATIKA SINEMA VILE.

HUYO JAMAA MWENYE HIYO NYUMBA INAONEKANA NI MBINAFSI MNO PAKA KWENDA KUJENGA PORINI KIASI HICHO.