Kaka unazungmzia hiyo? Hawa jamaa wamewekeza kwenye dege jipya la kivita litakaloingia "sokoni" hivi karibuni. Dege la gharama saana na lina uwezo wa kuondoka na kutua Vertically kama helicopter. Ni muundo mpya wa Lightning II iliyopo hapa kwenye post yangu (http://changamotoyetu.blogspot.com/2009/06/ubaya-hivi-una-faida.html) lakini sasa hii ni kali na aghali zaidi. Hebu check video yake ya namna inavyoweza kuruka na kutua kwa kutumia link hii ( http://www.youtube.com/watch?v=XIsIzjVi7j4 )
1 comment:
Kaka unazungmzia hiyo? Hawa jamaa wamewekeza kwenye dege jipya la kivita litakaloingia "sokoni" hivi karibuni. Dege la gharama saana na lina uwezo wa kuondoka na kutua Vertically kama helicopter.
Ni muundo mpya wa Lightning II iliyopo hapa kwenye post yangu (http://changamotoyetu.blogspot.com/2009/06/ubaya-hivi-una-faida.html) lakini sasa hii ni kali na aghali zaidi. Hebu check video yake ya namna inavyoweza kuruka na kutua kwa kutumia link hii ( http://www.youtube.com/watch?v=XIsIzjVi7j4 )
Post a Comment