Tuesday, 14 July 2009

Nimekubali JK ni taifa kubwa!


Yaani mpaka kwenye soccernet anatokea.... tena akiwa anakabidhiwa uzi wa timu moja maarufu na mtu mmoja maarufu kutoka nchi maarufu duniani. Nimekubali...wacha akwee mapipa tu kila leo..!!!




4 comments:

syiling peringatan malaysia said...

I'm first visitor from MALAYSIA, so get MALAYSIA flag at your neo counter, I hope u visit my blog because i want your TANZANIA flag at my flag counter and neo counter, thanks


http://syilingperingatan.blogspot.com/

Mzee wa Changamoto said...

Dah!! Naogopa kusema mengi. Ni kweli kuwa Rais ni TAIFA KUBWA lakini ni taifa kubwa kusikotakiwa. Yaani kjuna kufanya kitu. Kuna kufanya kitu kilicho sawa kwa wakati m'baya. Kuna kufanya kitu sawa kwa wakati sawia lakini kwa watu wasiohitaji kitu hicho. Kuna kufanya kitu kisicho sawa kwa watu sawia.
Sijui yuko wapi katika hili.
Lakini anasonga kiaina

Unknown said...

Nice site. Greetings from Austria.

Please visit my site, too.

http://monimaus-monalila.de.tl


Moni

Mzee wa Changamoto said...

Naona mzee unakula ma-shavu ya "nchi za nje" tuuu. Hahahahahaaaaaa.
Mpaka Malaysia? Kweli we matawi ya juu. Lol
Blessings Man. Pamoja