Enzi hizo Tanzania tulikuwa na kituo kimoja cha radio, RTD. Piga ua ilikuwa lazima tu usikilize vipindi vyao kama vile.
1. Mbiu ya mikoa
2. Asilia salamu
3. Ukulima wa kisasa
4. Fimbo ya mnyonge
Nakwambia ilikuwa shughuli haswa, mwenye kukumbuka vinginvyo aongezee.
1 comment:
mambo mpwitompwito
Post a Comment