Wednesday, 2 December 2009

ALAMA TATA !!!!!!!!!!!!!


Tafadhali ninahitaji msaada wako kwa hali na mali, hapa Kamanda Kova alikua akitoa Amri ama alikuwa akimaanisha mambo safi?

1 comment:

Unknown said...

Mmmmh kwa upande wangu ni kama alikuwa anaamru watu kwenda kufanya jambo fulani au kwenda kufanya kazi wanazotakiwa kufanya kila siku.