Wednesday, 8 July 2009

HAKIKA SOTE SAFARI YETU NI MOJA.

Hati ya kifo cha Michael Jackson ambayo ilitolewa jana.
Jeneza lililokuwa na mwili wa Michael Jackson.

Msafara wa maziko ukipangwa na wahusika.

Gari lililobeba jeneza lililokuwa na mwili wa Michael Jackson.

Paris Michael mtoto wa kike wa Michael Jacskon alishindwa kujizuia kwa machozi.

Familia ya Michael Jackson ilijumuika na wasanii wengine kwa kuimba wimbo wa We are The World ambao ulitamba sana katika miaka ya 80.



1 comment:

Mzee wa Changamoto said...

Ni kweli. Safari yetu ni moja na haijalishi utakwenda kwa namna gani ama utaagwa namna gani ama utaelezwa kwa namna ipi na "wadau", lililo kuu ni namna ulivyojiandaa kuikabili siku hiyo na namna ambavyo utakuwa msaada wa kiuchumi, kimawazo na kihisia kwa wale unaowaacha nyuma yako.
Blessings