Ni kweli. Safari yetu ni moja na haijalishi utakwenda kwa namna gani ama utaagwa namna gani ama utaelezwa kwa namna ipi na "wadau", lililo kuu ni namna ulivyojiandaa kuikabili siku hiyo na namna ambavyo utakuwa msaada wa kiuchumi, kimawazo na kihisia kwa wale unaowaacha nyuma yako. Blessings
1 comment:
Ni kweli. Safari yetu ni moja na haijalishi utakwenda kwa namna gani ama utaagwa namna gani ama utaelezwa kwa namna ipi na "wadau", lililo kuu ni namna ulivyojiandaa kuikabili siku hiyo na namna ambavyo utakuwa msaada wa kiuchumi, kimawazo na kihisia kwa wale unaowaacha nyuma yako.
Blessings
Post a Comment